Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki...
11 Reactions
155 Replies
3K Views
Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za...
18 Reactions
108 Replies
3K Views
Nikueleze ukweli Mimi USSR ni mbishi wa hizi drama za manabii feki ,licha ya kukulia katika familia ya kilokole ya TAG wazazi wangu wakiwa wazee wa kanisa Mimi na mambo ya miujiza ni mbingu na...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea. Janga hili...
138 Reactions
7K Replies
832K Views
Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani...
3 Reactions
25 Replies
197 Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
20 Reactions
344 Replies
7K Views
kitu gani kilikutoa machozi, kukubaliwa, kukataliwa, kupewa au kuporwa mpenzi wako.... kipi kilikuliza? 🐒
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na...
0 Reactions
9 Replies
183 Views
Kama haujawahi kukutana na matatizo basi unaweza kushangaa hili, watu wanamatatizo ndugu zangu. Nina ndugu yangu ni mtoto mdogo tu kama unavyojua tena maisha ya vijijini mabinti huolewa mapema...
23 Reactions
65 Replies
2K Views
Wakuu kama mlivyosikia ya kuwa confederation cup limefutwa, Je hawa ndugu zetu ubuntu botho/mikia fc/mbumbumbu fc walio nafasi ya tatu kwenye ligi je watashiriki kombe gan? Nawasikitikia sana...
2 Reactions
11 Replies
166 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,048
Posts
49,405,267
Members
665,830
Latest member
Ezirom
Back
Top Bottom