Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa #60yaMuunganoTz Nami nasafiri na SGR nitakuwepo kwenye Dua/Sala Aprili 22...
2 Reactions
35 Replies
944 Views
Hivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba...
2 Reactions
18 Replies
527 Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
22 Reactions
507 Replies
9K Views
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Ndani ya Chama hakuna wa kushindana na Rais Samia 2025 Hata zitolewe Fomu 1000 kwenye kura za maoni Dr Samia atashinda kwa Kishindo Kama unabisha basi watazame...
7 Reactions
35 Replies
343 Views
SIMBA NI YANGA B Baada ya kikosi cha Simba Sc, kuruhusu kichapo cha mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya mtani wake Yanga Sc, Afisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Mi nimezaliwa Dar na Nimekua Dar, nimejipambania kutafuta kile Mungu amenijalia kilicho kidogo changu, Ila nafsini mwangu mi sitaki chochote Cha urithi iwe kwa Familia yangu niliozaliwa yaani kwa...
4 Reactions
43 Replies
497 Views
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea
0 Reactions
11 Replies
84 Views
Wana bodi Amani iwe juu yenu. Awali nimshukuru Mwenyenzi Mungu kunifikisha Mwaka huu wa 2024 naamini pia atanivusha salama na kufika 2025 kwa maepnzi yake. Iko hivi nimejipima nimeona sifa...
3 Reactions
36 Replies
242 Views
Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana, last two weeks nilienda kuangalia salio la acc yangu crdb bank, nikakuta sehemu flan ya pesa imepungua nikakaa kimya Leo hii tena tar 14 nikasema...
14 Reactions
68 Replies
4K Views
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
23 Reactions
466 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,059
Posts
49,440,778
Members
666,183
Latest member
gearbox
Back
Top Bottom