Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimejikuta natafuta Israel kwenye hii ramani, inabidi uitafute sana tu yaani, majitu ya uarabuni yanatia aibu, halafu na huku Afrika kuna wavaa kanzu ambao wanapaswa kuitazama hii picha wajipige...
1 Reactions
15 Replies
343 Views
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja...
1 Reactions
23 Replies
251 Views
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
1 Reactions
13 Replies
31 Views
Habari za weekend, Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae. Alitoa kisa kimoja...
8 Reactions
100 Replies
7K Views
Kama Una frame ndogo mjini sehemu iliyochangamka nicheki pm
1 Reactions
2 Replies
26 Views
Tax Assessors na Tax Collector's wanalielewa Hilo hivyo ni vema wakamuelewesha Waziri Mwigullu Na kwa bahati nzuri Naibu Katibu mkuu Hazina ni Tax man Sanare wakati wa kuanzisha TRA ndiye...
4 Reactions
5 Replies
48 Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
5 Reactions
40 Replies
861 Views
Huu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza. Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote...
2 Reactions
11 Replies
212 Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
17 Reactions
1K Replies
47K Views
1. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi. 2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani? 3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito...
7 Reactions
46 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,829
Posts
49,398,424
Members
665,735
Latest member
Magreth kivuyo
Back
Top Bottom