Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
11 Reactions
169 Replies
7K Views
Rais Samia amesema Ripoti za CAG zinafanyiwa Kazi na watu wanaokwenda kurekebisha makosa ndio sababu kuna Ongezeko la Hati Safi Rais Samia amesema 99% ni Hati Safi na 1% tu ndio Hati chafu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa wale wote mnaopenda kutuma mizigo kwenye mabasi alafu mnadanganya bei..mzigo wa milion moja unasema laki moja..sasa kwa madereva hawa wa mabasi walivyo na mahesabu ya kitoto wanavyosababisha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
14 Reactions
136 Replies
3K Views
Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kutupa uhuru wa...
0 Reactions
5 Replies
109 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
Kwa haya yanayo endelea hilo li nchi ni dola la Kiislam au ?
4 Reactions
45 Replies
683 Views
Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana. Lakini wagonjwa...
7 Reactions
65 Replies
1K Views
Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali...
3 Reactions
66 Replies
3K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views

FORUM STATS

Threads
1,840,367
Posts
49,199,408
Members
664,001
Latest member
Acciboy
Back
Top Bottom