Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi...
5 Reactions
29 Replies
384 Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
2 Reactions
30 Replies
139 Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
36 Reactions
173 Replies
5K Views
Wakuu, Habarini? Mimi ni mdau zaidi wa kusoma Nyuzi hapa JF kuliko kuandika Nyuzi. Lakini leo nimeona na mimi warau nivunje Ukimya, nipate kushuhudia jinsi Forum hii imenifungulia mlango...
30 Reactions
70 Replies
2K Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
11 Reactions
96 Replies
1K Views
INTRODUCTION: Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!! BODY Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa...
2 Reactions
29 Replies
680 Views
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
14 Reactions
281 Replies
3K Views
Ni kweli mafao ya wastaafu hayatoshi (si wao tu asilimia kubwa ya wabangaizaji Tanzania either hakuna wanachopata na wakipata hakitoshi)...; Lakini wakati tunachemsha Bongo jinsi ya kuwarekebishia...
0 Reactions
3 Replies
15 Views
Marehemu Nyaisuka Chacha Mohono. Aliuawa na askari wa wanyamapori 11/03/2024 kwa kupigwa risasi saa nne asubuhi nyumbani kwao kitongoji cha Jerumani, Machochwe, Serengeti. Askari walifika...
6 Reactions
77 Replies
838 Views
Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli? Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na...
1 Reactions
19 Replies
123 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,982
Posts
49,437,038
Members
666,153
Latest member
fifiii
Back
Top Bottom