Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na...
0 Reactions
5 Replies
128 Views
Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua...
2 Reactions
10 Replies
281 Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
44 Reactions
193 Replies
3K Views
Salaam, Shalom! Maelfu ya watu wanaendelea kuhamishwa baada ya maji kufurika Kwa usiku mmoja tu na kufunika maelfu ya nyumba na miundombinu katika majiji ya Orenburg, Syberia na Euros nchini...
6 Reactions
26 Replies
784 Views
Wanaokopesha Kwa riba nafuu tafadhari tuwasiliane 0656980802 nahitaji 400,000 asap Kwa mwezi au miezi 2 nimejiajiri mwenyewe nina duka la nguo sinza
0 Reactions
35 Replies
184 Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
38 Reactions
708 Replies
13K Views
Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani...
1 Reactions
3 Replies
65 Views
Rwanda imefanikiwa kuishawishi Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na kupenyeza sherehe zake za kumbukizi ya Mauaji ya Halaiki Kwa Watutsi na kuwa siku rasmi ya Jumuiya. Inasikitisha ikiwa Wanachama...
1 Reactions
48 Replies
754 Views
Hivi najiuliza hii nchi kuna shida gani? Majuzi tu naona mkwara kuwa magari ya serikali baada ya saa 12 jioni hayaruhusiwi kuwepo nje. Cha kushangaza, madereva kama kawaida wapo wanakula nayo bata...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
27 Reactions
142 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,037
Posts
49,404,895
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom