Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
15 Reactions
353 Replies
5K Views
Wakuu bila shaka mnaendelea vyema. Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu. Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu. Kaka yangu...
30 Reactions
60 Replies
2K Views
wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELOD hapa kuna ishara gani?ila wale ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly . Wacha inyeshe.
2 Reactions
18 Replies
217 Views
Ukipata ukifanikiwa usisite kunibless ata ya soda basi dah! Wana mna roho ngumu haki ya nani! 😂👇👇
1 Reactions
15 Replies
156 Views
Stephen Aziz Ki na Djigui Diarra bado sijawaona kambini na walipaswa kuwa wamerejea kutoka kwenye majukumu yao ya timu zao za taifa” - Kocha Miguel Gamondi, Yanga Afrika. Yapi maoni yako??
0 Reactions
8 Replies
202 Views
Sisi vishirika vya umma vichache tu kila siku vinatulamba hasara tunaona njia ni kubinafsisha kila kitu. Hawa marafiki zenu nyie CCM hawa wachina wao uchumi wao umeshikiliwa na mashirika ya umma...
0 Reactions
1 Replies
4 Views
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi? Tena wateja naona watakuwa ndugu...
5 Reactions
69 Replies
3K Views
Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.
8 Reactions
25 Replies
515 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,590
Posts
49,206,802
Members
664,060
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom