Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini , Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo !
Je kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu ?
Kuna huyo pastor anajiita Dominic (kiboko ya wachawi) nadhani kuna wanao mfahamu mi nauliza tu ni mkweli ama tapeli kama wengine?
Kuna siku natafuta channel ya kusikiliza kwenye radio mara...
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
Kuna nchi zina shida humu duniani jamani, mfano Hait.
1. Kwa jinsi intelijensia ilivyo kali ya US, je, kwa nini washindwe kudhibiti usafirishaji wa silaha kutoka US kwenda kuchafua hali ya hewa...
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.
Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa...
TAARIFA KWA UMMA
KUSITISHA SHUGHULI ZA SANAA, SHEREHE NA BURUDANI KATIΚΑ KUMBI 504 ΤΑΝΖΑΝΙΑ BARA.
Mnamo tarehe 19 Februari, 2024 Baraza lilitoa tamko la nia ya kusitisha huduma kwa kumbi 653 ndani...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua.
Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi...
Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo .
Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.