Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.
Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Habari.
Nimejaribu kuverify information zangu nacte nime attach majibu.
Nlikuwa naomba msaada wa kujua kama Nacte washayapokea matokeo yangu au bado.
Ahsante
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
Wanabodi,
Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.
Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Wakuu,,
Umasikini ni sawa na Ukimwi, fungus, kaswende au Ebola au ugonjwa wa kuambukizwa.
Umasikini unaambukizwa kuweni makini. Kama wewe ni masikini kamwe usifungamane na masikini wala kuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.