Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na...
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF...
Taarifa kutoka kwenye vyanzo vya Uhakika Ndani na Nje ya Nchi , Chadema HQ na Chadema Diaspora , zinaeleza kwamba Maandalizi ya yale Maandamano kabambe ya amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Israel Katz kupitia Mtandao wa X amesema "Asubuhi hii nilituma barua kwa nchi 32 na kuzungumza na Mawaziri wengi wa Mambo ya Nje na Viongozi Waandamizi Duniani...
Askofu wa Assyriac Church Mari Mari Emmanuel alidungwa kisu pamoja na waumini kadhaa katikati ya ibada huko Wakeley Jumatatu usiku. Shambulio hilo lilitokea katika Kanisa la Christ The Good...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Dar es salaam
Ikulu ya Mjerumani ikiteketea baada ya kupigwa kombora toka kwenye meli ya mwingereza.
Kwenye eneo hilo ilibidi mwingereza ajenge Ikulu mpya
Miongoni mwa maeneo yaliyoshambuliwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.