Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
3 Reactions
25 Replies
403 Views
Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
26 Reactions
51 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu. Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe...
2 Reactions
14 Replies
336 Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchaowa nazo ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
2 Reactions
7 Replies
37 Views
Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo. Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana...
4 Reactions
15 Replies
392 Views
Imepostiwa na Page ya club ya Al Ahly katika kurasa zao je? Ina shida Gani!
1 Reactions
13 Replies
117 Views
Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
1 Reactions
7 Replies
68 Views
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
11 Reactions
71 Replies
834 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,483
Posts
49,203,154
Members
664,031
Latest member
G 1
Back
Top Bottom