Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na...
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar...
Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa...
Wakuu kwema?
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina...
Wewe fikiria utembeee mwaka mzima peku na kusafiri peku Nani anaweza Hilo
Mm najuwa ili upate kibali Kuna gharama za kulipia kibali hakiji hvhivi japo Kuna bahati pia
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9.
Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza.
Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya...
Kwa miaka mitatu ya bajeti kuanzia 2021 hadi 2024 pamekuwepo na tatizo la kupanda kwa gharama za mafuta ya Nishati (Petroli, Diseli na mafuta ya taa). Vile vile, robo ya pili ya mwaka fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.