Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
5 Reactions
55 Replies
1K Views
Pamoja na kile kinachoitwa ushirikiano ila Huwa Kuna ajenda zingine Nje ya kinachoandikwa na kuonekana. Nchi iwe makini ,wanaoutwaga vibaraka Huwa wanaandaliwa hivi hivi.Tuwe makini na Wapinzani...
0 Reactions
3 Replies
11 Views
Habari wataalam. Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui. Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic...
1 Reactions
6 Replies
106 Views
Kuna Wale Watu wa kujichanganya na watu wa namna zote wenye hela na wasio nazo, wanywa bia na wanywa gongo huwa wananifurahisha sana pale wanapopata hela yaani moyo hautulii mpaka hela iishe. Na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
A
Airtel kuna kitu wanaendelea kuwafanyia Wateja wao kwenye hizi router zao za 5G siyo kizuri. Wanakwambia kuwa internet ni unlimited ila ukitumia kwa siku 20 internet wanaishusha speed, mfano mimi...
0 Reactions
2 Replies
39 Views
Nawe nenda huko ukampigie wako ila kwa wenye Akili wengi tumewapigia akina Museveni na Kagame tu pekee Ok?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo...
8 Reactions
71 Replies
1K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
28M Views
Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni...
3 Reactions
10 Replies
81 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,846
Posts
49,398,871
Members
665,733
Latest member
Magreth kivuyo
Back
Top Bottom