Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
Habarini wapendwa,kama kichwa kinavojieleza nahitaji mtu mzma wa kutulia nae nimechoka hekaheka za vijana na uwongo wao.
Mtu mzma ninaemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 45 mpaka 60,dini...
17 April 2024
Iringa, Tanzania
#live: KISHINDO CHA MCH. PETER MSIGWA KANDA YA CHADEMA - NYASA CHATIKISA JIMBO LA IRINGA
https://m.youtube.com/watch?v=J8CWOeOxk90
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
Kumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .
Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala...
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Na Mwandishi Wetu, Mara
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameeleza kuwa, ni vema Watumishi, wataalamu wa serikali kutotoa ahadi ambazo wanajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.