Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo nawashangaa sna mnatunyima kula mchana kisa mmefunga! Najiuliza mbona mnashindwa kujenga vitu vya maana kabisa ninyi mnakazana na dini wakati mkiugua mnakimbizwa KCMC au Bugando kutibiwa na...
47 Reactions
356 Replies
4K Views
Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze MAHITAJI 1)Mchele kilo moja. 2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu...
13 Reactions
62 Replies
524 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida. Shambulio...
3 Reactions
4 Replies
107 Views
Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al...
18 Reactions
927 Replies
51K Views
Za siku nyingi wana JamiiForums, natumaini mu wazima. Naomba nitoe shukrani zangu kwa JF kwa maada mbalimbali zimekuwa zinasaidia sana, mimi si mtoa maada sana ila msomaji mzuri. Niende kwenye...
6 Reactions
15 Replies
228 Views
Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo'...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wanawaza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
16 Reactions
203 Replies
4K Views
Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi sana. Sitowataja ila ni kati ya benki mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi. Niseme...
7 Reactions
70 Replies
2K Views
Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa. Mim ni nilikuwa nasali kanisa la...
14 Reactions
149 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,863
Posts
49,216,855
Members
664,118
Latest member
Konnect
Back
Top Bottom