Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakazi wa mbagala kiburugwa tunaomba serikali iwajibike ipasavyo, barabara hii ni kubwa sana ila ni mbovu haipitiki kipindi cha mvua na kikiwa kipindi cha jua kali ni vumbi na mchanga mwingi kiasi...
1 Reactions
6 Replies
21 Views
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati...
13 Reactions
53 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
10 Reactions
98 Replies
713 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku Leo Sina pesa kabisa ya kula...
4 Reactions
17 Replies
269 Views
Nahitaji kununua mashine ya Selcom nipo dar es salaam iwe imeungwanisha na selcom, muuzaji serious anitext inbox
0 Reactions
1 Replies
34 Views
Ni nadra sana Leo hii kuwasikia Viongozi wa CCM wakiunanga Upinzani lakini wawapo mikutanoni Viongozi hao ni wakali kweli kweli Je, unajua wanamfokea nani?! 🐼 Jumaa kareem 😄
1 Reactions
7 Replies
60 Views
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo. Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya...
19 Reactions
116 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,809
Posts
49,430,227
Members
666,065
Latest member
kipethor
Back
Top Bottom