Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema vijana wake wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly na wanahitaji kupata mabao mengi nyumbani, ili kujitengenezea mazingira mazuri...
2 Reactions
10 Replies
211 Views
Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita. Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea...
10 Reactions
62 Replies
1K Views
Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza
2 Reactions
19 Replies
183 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
1 Reactions
13 Replies
115 Views
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo. Inasikitisha sana. Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
4 Reactions
26 Replies
544 Views
Kuonesha kwamba timu ya SIMBA ni timu iliyobarikiwa na MUNGU kwa kutandaza soka tamu la viwango vya CAF na kuthibitishwa na FIFA, CAF wameamua kuipanga siku ya ijumaa iwe siku ya mechi pekee ya...
6 Reactions
14 Replies
329 Views
Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Yaani mkifuta post zangu napata mzuka sana wakuu. Lakini sizani kama nyuzi zangu zinakuwaga Na matusi. WAHUNI wote peponi.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu. Jitafakari. Cc...
14 Reactions
129 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,305
Posts
49,196,856
Members
663,983
Latest member
Mr samson
Back
Top Bottom