Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana. Mwanamke au mwanaume...
6 Reactions
41 Replies
632 Views
Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale hua namsaidia. Maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa...
9 Reactions
157 Replies
4K Views
Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni...
0 Reactions
4 Replies
37 Views
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga hapa Sinza basi kuna vibinti vinasoma Chuo cha Ustawi wa jamii Mwenge, vikitoka chuo tu wanaanza makerere yao mpaka usiku...
7 Reactions
45 Replies
628 Views
Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu...
6 Reactions
16 Replies
239 Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
16 Reactions
189 Replies
2K Views
Wakuu, Wale watu Classic karibuni. Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer. Mbezi beach Africana Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji...
2 Reactions
14 Replies
283 Views
Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel. Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za...
3 Reactions
5 Replies
236 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,626
Posts
49,423,742
Members
666,011
Latest member
mzanzibar_4_real
Back
Top Bottom