Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

This is absurd and intolerable. Kwanini wao wajione muhimu sana ktk muungano huu? Kauli kama hizi kutoka kwa kiongozi (mbunge) hazivumiliki!
1 Reactions
13 Replies
197 Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
876 Replies
21K Views
Poleni Kwa majukumu wadau Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?Nawasilisha
1 Reactions
28 Replies
277 Views
Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari . Nikazama gugo kudadisi...
3 Reactions
27 Replies
317 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki . Ni sawa .. Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
7 Reactions
71 Replies
627 Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
26 Reactions
120 Replies
3K Views
Mimi naona kikubwa kazi iwe inakulipa na kukuwezesha kumudu maisha yako tu inatosha wajameni au sio
0 Reactions
2 Replies
17 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi @ Babu G. ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
19 Reactions
1K Replies
10K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,867
Posts
49,468,223
Members
666,513
Latest member
CollinsTeko
Back
Top Bottom