Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
15 Reactions
208 Replies
2K Views
Kumekuwa na utata juu ya gharama za ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini arusha, wananchi wamehoji sana na kuonekana kutokukubalina na gharama na hasa wakilinganisha na gharama za uwanja wa...
0 Reactions
3 Replies
12 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
260 Replies
4K Views
Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lkn naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Kukamata mtu kisa amekula mchana siyo ukandamizaji wa haki za binadamu? Tundu Lisu mbona haukemei? Hili wimbi la ukamataji watu huko Zanzibar limeagizwa na nani? Katiba ya Tanzania inasemaje?
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Nimeipenda sana simbanking mobile App kutoka benki ya CRDB.Hii app inapatikana kwenye playstore na inakuwezesha kufanya mambo mengi yakiwemo Kufanya cash transfer kutoka kwenye account ya CRDB...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Facial expression na kauli za Mama leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG na TAKUKURU ni kama vile Mama hakuwa na raha na GAG zaidi mzani ulielemea kwa TAKUKURU
3 Reactions
18 Replies
662 Views
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wana waza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
7 Reactions
98 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kuna ajira fulani nilikuwapo nafanya miaka minne nyuma ambapo niliifanya kama 4 yrs nikaiacha bila utaratibu maalumu maana nilipata Safari ya ghafla nikaona mambo yasiwe mengi sasa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,416
Posts
49,201,290
Members
664,013
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom