JUST IN: Rapper Diddy's private jet has been tracked to the Caribbean islands after his homes were raided in relation to a s*x trafficking investigation.
The jet appeared to land on Antigua in...
Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake
Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki
Msaaada naombeni
Wakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya.
Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.
Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa...
Habari zenu wapendwa,
Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000.
Kwa...
Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi , maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua .
Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.