Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kore Duniani , inadokeza kwamba Mzungumzaji Mkuu atakuwa John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki
Bado hatujajua kama atazungumzia lolote kuhusu...
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
Ule mpango kazi wa Chadema wa kusajili wanachama wake kwa njia ya kisasa , unaoitwa Chadema Digital umeingia Wilayani Rungwe baada ya kumaliza kupita vijiji vyote vya Kyela kwa kishindo .
sasa...
Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa.
Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu...
Mufti Abubakar amesema Bakwata itafanya Maombi ya kuliombea Taifa kwa kutimiza Miaka 60 ya Muungano wetu siku ya tarehe 22/04/2024 Nchi nzima na viongozi mbalimbali watahudhuria
Wiki linaloanza...
Full name: Manchester City Football Club
Nickname(s): The Citizens, The Blues, The Sky Blues
Founded: In 1880 as St. Mark's (West Gorton), became Ardwick Association Football Club in 1887 and...
Habarini za wakati huu memberz wenzangu.
Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua.
Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.