Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
8 Reactions
70 Replies
889 Views
Huu uzito wa ukoloni sijuhi ulikuwa ni mzito kiasi gani mpaka kufanya mswahili kuchukua kabisa lugha yake nzuri ya kiswahili. Jana nilipokea taarifa za kusikitisha sana ambazo zilinipa sonona...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Naomba tusaidiane ktk hili ili nipate ujuzi wa kubana matumizi, ivi unawezaje kuishi Kwa kipato cha million mbili Kwa mwezi ilihali mm hiyo pesa Sina mke Wala mtoto lkn inaisha kabla ya tar mosi...
18 Reactions
86 Replies
4K Views
Uwanja ukowazi. Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa. Sifa zangu: Umri : 50 Elimu: shahada 1 &2 Kazi: Mfanya biashara Dini: Mkristo...
10 Reactions
162 Replies
2K Views
Unleash Your Hidden Potential: Break Free from the Saboteur Within Wrestling with Your Inner Critic Have you ever felt like your own worst enemy, caught in a cycle of self-doubt and missed...
1 Reactions
5 Replies
175 Views
Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
11 Reactions
233 Replies
11K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewasili kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Makonda ameitikia wito wa kufika...
3 Reactions
81 Replies
5K Views
Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini, Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya...
64 Reactions
157 Replies
7K Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
11 Reactions
36 Replies
783 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,747
Posts
49,464,597
Members
666,459
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom