Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

“MAGUFULI ALICHELEWA KUWA RAIS WETU.” Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5...
16 Reactions
131 Replies
3K Views
Ni 2017 nlikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status. Nikiwa nimeingia sehemu ya...
19 Reactions
45 Replies
2K Views
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka...
18 Reactions
89 Replies
3K Views
TeamJf, Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA! Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
11 Reactions
81 Replies
1K Views
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa. Nikaona kabisa huu ni ukimwi...
21 Reactions
142 Replies
2K Views
FOOTBALL RECORDS THAT ARE YET TO BE BROKEN 💥 Zidane Was never flaged offside in his career. 💥 Lahm (Bayern Munich defender) went one full season and half without committing a foul as a defender...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jamaa nchi inazidi kufunguliwa hukuu. Fursa hiyoo kwa watafutaji. Wale mawakala wa dubei, Qatar n.k na wale watafuta kazi nje ya nchi mambo yamenoga huku. Mimi nataka nikafanye zangu kazi...
6 Reactions
48 Replies
7K Views
Wakuu, Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kufariki dunia kwa ndugu yetu na mwanachama wa JamiiForums, Sanctus Mtsimbe, mchana wa tarehe 13 Machi 2024. Sanctus alikuwa Rais wa kwanza wa...
87 Reactions
153 Replies
10K Views
Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari...
5 Reactions
85 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,687
Posts
49,111,323
Members
662,974
Latest member
Jerry huxkey
Back
Top Bottom