Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wazee wenu walishasema "Kitanda hakizai haramu". Wazee wenu walishasema "kuchapiwa ni siri ya ndani". Misemo yao yote hiyo ni kuilinda ndoa isivunjike panapotokea usaliti, sasa wewe unaesema...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
34 Reactions
162 Replies
5K Views
Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika...
2 Reactions
21 Replies
255 Views
January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania Na Mwandishi Maalumu January Makamba, Maharage Chande na Saidi Yakubu ni maswahiba wa karibu...
16 Reactions
83 Replies
6K Views
Habarini, "Marriage-diggers" ni aina flani ya wanawake ambao maamuzi yao ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yako dictated na umri wao. Unaweza kuta mdada mzuri tu kimuonekano, ana miaka...
22 Reactions
99 Replies
3K Views
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua. Sasa nikakubaliwa...
1 Reactions
3 Replies
16 Views
Haya na Wengine mnaolitaka Jimbo la Kawe 2025 kuweni makini Dogo ameshaanza Kuingizwa Kundini kwani muda wote alikuwa anatamba kuwa iwe isiwe 2025 Yeye ndiyo Mbunge wa Kawe na tayari ana kama...
0 Reactions
8 Replies
125 Views
Wana MMU, Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha...
11 Reactions
89 Replies
1K Views
Taratibu sasa naanza Kumuelewa aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump aliposema Waafrika hatuna Akili kabisa.
0 Reactions
4 Replies
32 Views
Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha...
0 Reactions
20 Replies
154 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,103
Posts
49,474,240
Members
666,593
Latest member
Theresia mpoma
Back
Top Bottom