Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na...
9 Reactions
45 Replies
950 Views
Kama unaitaji mchele na maharage kutoka mkoa wa Mbeya karibu.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
1 Reactions
53 Replies
1K Views
App ya WhatsApp GB ina raha yake. Ilikuwa na feature nyingi nyingi sana. Na mara kwa mara wanatoa update inavutia sana. Sasa majuzi nilishuhudia watu wakitakiwa ku download official WhatsApp app...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
14 Reactions
66 Replies
2K Views
Kusema kweli kama kuna vitu nimefikia kujidharau sana,basi ni kushabikia hizi timu nikiamini ni timu za soka. Ukweli ninaanza kuuona katika timu hizi ni usanii wa kiwango cha juu. Timu zimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu habari za muda na wakati kama huu. Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead...
47 Reactions
263 Replies
8K Views
Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
4 Reactions
60 Replies
629 Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq. PIA SOMA: - LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel - Mafuta kupanda bei baada...
13 Reactions
632 Replies
21K Views
Nimewiwa kuuliza hili swala dunia inaenda less sana..kwa namna wanavyotupiana makombora hawa Israel na Iran inafikirisha sana. Sisemi kwa ubaya ila ikatokea dude limekosea njia mara gweee uelekea...
0 Reactions
3 Replies
20 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,894
Posts
49,433,918
Members
666,120
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom