Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
Wadau hamjamboni nyote Mungu amlaze mahala pema peponi mpiga picha na sajenti rose nyawira wa Jeshi la Kenya aliyefariki kwa ajali majuzi.
6 Reactions
14 Replies
679 Views
Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli,ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye. Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa...
17 Reactions
46 Replies
2K Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
Kwa mujibu wa nyaraka za Sumeria , zinazungumzia namna Binadamu alivyotokea , Binadamu alitengenezwa maabara (Genetic engineering) na kazi yake ilikuwa ni kufanya kazi kwenye migodi ya dhahabu...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
  • Poll
Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
9 Reactions
45 Replies
653 Views
Je huyo uliyeoana naye ndio wa ndoto zako ? Eti mkuu? Au tukuache kwanza?
0 Reactions
0 Replies
6 Views
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
0 Reactions
8 Replies
79 Views
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ . Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu. 1. Vipi risk ya hii biashara? 2. Vipi wateja...
2 Reactions
11 Replies
140 Views
Habarini, "Marriage-diggers" ni aina flani ya wanawake ambao maamuzi yao ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yako dictated na umri wao. Unaweza kuta mdada mzuri tu kimuonekano, ana miaka...
22 Reactions
85 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,007
Posts
49,472,074
Members
666,532
Latest member
HilariCreator
Back
Top Bottom