Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Laana ya rasilimali "resource curse" ni ile hali ya nchi zenye kuwa na rasilimali nyingi kuwa na maendeleo duni, ufisadi mkubwa, migogoro na demokrasia hafifu kutokana na wingi wa rasilimali ilizo...
Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata...
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
Ukidumu katika video inayosambaa utagundua hasira ya wazsnzibar vs wabara kuna chuki inayofichwa.
Ninkama moshi unaofula chini kwa chini. Moto utakuja kuzagaa chini na ukafika kwa wananchi.
Kuwe...
yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na...
Hii comment murua kabisa kutoka kwa bwana denoo JG kukemea kinachoendea huko Zanzibar.
Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika
Ameanza na ushauri
Tatizo upeo tu, wale...
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.
Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.
Nini kumetokea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.