Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Anasema kipindi kilichopita kilikuwa na kikundi kinaitwa task force. TRA walikuwa wanafunga account za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya kodi kwa kutumia Task force hivyo kufilisi...
9 Reactions
71 Replies
2K Views
Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia. Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa...
0 Reactions
8 Replies
11 Views
Hili nimekutana nalo sana tu na ukiona hadi Kitu GENTAMYCINE anakisema basi jua kwa 100% kina Ukweli wake wote Oky?
14 Reactions
102 Replies
1K Views
Kuna sehemu nilikuwepo kwenye harakati zangu, sasa njaa ikawa inaniuma...ikabidi nicheck mazingira ya kupata msosi...kwa sababu nilikuwa mazingira ya stand nikawaona masela flani wapo kwenye gari...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kifo ni kifo lakini vifo vya wahanga wa ajali hii, looh! Mtu usemeje? Watu wazima waliokuwa kwenye gari lile waliotoka salama, wanacho nini cha kumwambia nani leo? "Kwa hakika mtu mzima...
4 Reactions
24 Replies
354 Views
A
Anonymous
Hapa Mbezi Luis, Karibu na soko ambalo linapakana na Shule ya msingi Mbezi Kuna bar na gest ipo karibu na soko kwa nyuma ya soko, bar hii inaitwa Lubumbashi na maeneo yake ya jirani kunafanyika...
3 Reactions
23 Replies
889 Views
Kenya imetajwa kama nchi ambayo pesa yake inaimarika dhidi ya USD kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.Siku za hivikaribuni shiling ya kenya imenza kuimarika sana baada ya kuyumba sana. Hii...
7 Reactions
42 Replies
698 Views
Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako. Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una...
40 Reactions
245 Replies
3K Views
Kuna msichana mmoja tulisoma wote nursery na primary! Nilikua nime crush kwake ila sikuwahi mwambia niliogopa itakua noma. Skuli za mission na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
3 Reactions
115 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,946
Posts
49,401,588
Members
665,781
Latest member
lucysAloyce
Back
Top Bottom