Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
Mwaka 1996, wakati wa mchakato wa kuchagua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Salim alionekana kuwa mgombea imara wa kumrithi marehemu Boutros Boutros-Ghali - ambaye nafasi yake haikuwa tena...
Hivi karibuni nimehamia Mkoa fulani katika harakati za utafutaji, kama unavyojua maisha popote pale maadam unapambania mkate wa kila siku.
Siku kadhaa zilizo pita nikiwa naelekea katika harakati...
Hili suala la AJIRA za TEUZI kwangu ni chanzo kikukuu cha umasikini maana tunakosa watu sahihi hali ya kuwa tunao hao watu.
Kwa mfano kuanzia CEO wa taasisi kama NIMR, NHIF , JKCI, MSD , TTCL...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Kabla ya WhatsApp nilikuwa na line za nchi mbalimbali. Ililazimu Kila nchi uliyofika ununue line. Mwisho nikajikuta na line zaidi ya 100. Nikijua naenda Italy nachukua SIM, Naenda Switzerland...
Poleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?
Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.