Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata...
11 Reactions
102 Replies
2K Views
Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman...
12 Reactions
118 Replies
2K Views
Habar wakuu majibu kama hayo sinus bradycardia tiba yake huwa ni nin
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000. Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha...
2 Reactions
6 Replies
27 Views
Wadau, Nimeona nilete jamvini hii mada ili tuijadili. Miaka kadhaa ya nyuma serikali ilikuwa ikitoa matamko na makaripio makali juu ya uvaaji wa nguo fupi kwa wanawake lakini nimegundua wimbi la...
0 Reactions
146 Replies
17K Views
Humu kuna watu wengi sana. Nilipiga kutokana maelezo ya baadhi waliojielezea kwa mf bado miaka 3 astaafu. Inamaana huyu ni 57 years. Je kuna uwezekano wapo wa 80years of age?
2 Reactions
11 Replies
81 Views
Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya. Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na...
17 Reactions
62 Replies
2K Views
Kuna msuguano wa fikra mitandaoni kuhusu Katazo la kula mchana adharani huko Zanzibar kipindi hiki cha Mfungo. Lakini kwa wenzetu wakristo jumapili ni Sikukuu ya Pasaka na naamini Zanzibar kuna...
0 Reactions
2 Replies
23 Views
Kuna TV imekomalia hapa: Ni TV ya muda kidogo na manual haipo Tena. Kwa anayeweza kujua maana yake, msaada tutani please.
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja...
13 Reactions
42 Replies
517 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,645
Posts
49,208,265
Members
664,073
Latest member
merckme
Back
Top Bottom