Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

JF team nimekutana na hii habari kwenye whatsap, naomba kwa mtu aliye karibu na maeneo ya huko Chemka atuambie kama ni kweli au ni uzushi? Naambatanisha na video na huo ujumbe unaozunguka Kinga...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Nitakuwa natokea maeneo Kololo karibu kabisa na ulipo Uwanja wa Ndege ( hasa Helicopter za Kijeshi na ya Mheshimiwa Rais kwa sasa ) wa Kololo Airstrip, hivyo kwa Watanzania mliopo hapa Kampala...
3 Reactions
21 Replies
408 Views
Nilipokuwa shuleni, sikuzote niliketi karibu na dirisha na kutazama jiko la kantini! Siku moja Mwanamke anayepaswa kuandaa chakula siku hiyo kaweka chumvi kisha akatoka na kwenda zake, baada ya...
3 Reactions
7 Replies
43 Views
Kwa majina naitwa Patrick Ayubu John. Mie nimwbobea kwenye stationary zaidi kilabkazi unayoijua naoweze kama 1. Typing 2. Editing 3. Passport Size 4. Shooting 5. Directing 6. Online work kama A)...
1 Reactions
2 Replies
25 Views
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa...
3 Reactions
17 Replies
18 Views
Mambo ya tabia na mazoea mbofu mbofu utapigwa na mumeo mpaka ujirekebishe. Habari ndio hiyo.
6 Reactions
57 Replies
634 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana. Mwanamke au mwanaume...
4 Reactions
16 Replies
264 Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
10 Reactions
56 Replies
1K Views
Nauliza swali ? Hawako kwenye part yeyote wala sherehe yeyote?
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,579
Posts
49,422,326
Members
665,993
Latest member
Shaibu Ally Bakari
Back
Top Bottom