Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Benki mbona kama hakuna usalama Tena.. Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa. Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi...
6 Reactions
16 Replies
325 Views
Taarifa haijakamilika rasmi, kama kuna yeyote atakaye pata updates zaidi, basi unaweza kutuletea taarifa iliyokamilika ๐Ÿค. โ€ข MwenyeziMungu awaweke mahali pewa wale wote waliofikwa na umauti...
3 Reactions
15 Replies
16 Views
Naanzia kushoto kwenda kulia 1) Salim Ahmed Salim 2) Joseph Sinde Warioba 3) Rashid Mfaume kawawa 4) Julius Kambarage Nyerere 5) Ali Hassan Mwinyi 6) Idrissa Abdul Wakiil 7) Maalim Seif Sharif...
4 Reactions
21 Replies
548 Views
Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo. --- Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake UHUMA ZA RUSHWA KWENYE...
0 Reactions
4 Replies
166 Views
Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote...
1 Reactions
10 Replies
99 Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
0 Reactions
13 Replies
231 Views
Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua...
1 Reactions
7 Replies
212 Views
Wasalamu,hii kitu inanichanganya sana,unaweza Kuta mwanamke ana sura,ana Tako ila Tabia ni sio nzuri kivile. Unaweza Kuta mwanamke ana sura ya kawaida tu na Tako la kuibia tu ila ana adabu balaa...
0 Reactions
10 Replies
79 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,029
Posts
49,404,453
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom