Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mahitaji ya Miche ya muda mfupi ;- *Miembe *Michungwa *Chenza *Parachichi *Passion *Pera *Apple Miche ya viungo -mdalasini -mchaichai -mint -rosemary -ukwaju -iliki n.k **Wasiliana nasi kwa...
1 Reactions
30 Replies
337 Views
Washabiki wa simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya al ahaly yaan wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao...
1 Reactions
5 Replies
99 Views
Kipindi hiki mashabiki wa Simba na Yanga tumevamia page za Mamelodi na Ahly kwa shobo na mbwembwe. Watu wanaweka comment, hadi ukichungulia unaona hivi hawa watu wanatuonaje watanzania...
22 Reactions
72 Replies
2K Views
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
6 Reactions
14 Replies
337 Views
Mwaka huu zimetoka simu nyingi sana ila Mchina kanifurahisha zaidi. Kampuni ya Xiaomi imetoa flagship zao mpya October mwaka huu ambazo ni Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro. Nadhani zinastahili kuwa...
14 Reactions
60 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
habari Wana JF, Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito [emoji24] pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao...
0 Reactions
38 Replies
203 Views
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao...
2 Reactions
4 Replies
111 Views
Maisha wanayoyataka Taasisi za kidunia ni aina ya maisha ya utumwa ambapo wanaforce kila jambo liwe fursa na kwa sababu hii ndiyo ugumu wa maisha unazidi kuongezeka. Imagine zamani mtu anatoka...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
11 Reactions
123 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,259
Posts
49,195,238
Members
663,952
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom