Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu.
Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga...
Mkuu wa ujasusi katika jeshi la Isarel Meja jenerali Aharon Haliva amethibitisha na kukiri kufeli katika vita vinavyoendelea hasa katika kuzuia shambulio la Hamas la Oktoba 7, aidha kwa maelezo...
Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa zinaeleza ya kuwa Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara Paul Christian Makonda atazungumza na waandishi wa habari muda na wakati wowote ule...
Kwa mujibu wa taarifa iliyonukuliwa na gazeti la the Guardian inaelwza kwamba Benki ya Dunia WB Imezuia kuendelea kutoa ufadhili wa Mradi wa Regrow kufuatia madai ya ukiukwaji wa Haki za binadamu...
✨ Takribani miaka 10 imepita tokea Dunia ipokee ugunduzi wa mjasiriamali mmoja Bw Jamie Siminoff . Yes ilikuwa mwishoni mwa Mwaka 2013 video door bell ya kwanza ilivogundulika na kuingizwa sokoni...
Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.