Nimeona klipu Moja ya kusikitisha Leo asubuhi ! Baba mmoja mtu mzima anacharazwa bakora mbele za watu kwa kuwa tu yeye hajafunga! Hilo halijanishtua Sana kilicho nisikitisha ni maneno ya...
Nimegundua mita yangu haikati umeme hata unit zikiisha, ni mpya kabisa na imefungwa kwenye nguzo yao ya umeme. Wamefunga mita za nyumba kama 4 kwenye nguzo hiyo, kwahiyo tunatumia vile vi remote...
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchaowa nazo ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.