Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
8 Reactions
208 Replies
5K Views
Habarini za wakati huu memberz wenzangu. Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua. Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke...
3 Reactions
41 Replies
547 Views
Wananchi katika Mji Mkuu wa Freetown, na Miji mingine nchini humo wamelazimika kukaa gizani kwa Siku 7, baada ya Watoa huduma za Umeme kusitisha Huduma kutokana kutolipwa kwa muda mrefu Kampuni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Najua nafsi yako haitaki uwe hata ulivyo Sasa kwenye nafasi ya uraisi. Ila wahuni waneona wewe ni mteremko wanafanya mambo Yao kiulaini ndo maana wamekung'ang'ania. 2025-2030 siasa za Tanzania...
16 Reactions
33 Replies
2K Views
Msiwaache salama wanaokuja kueneza Uchochezi Rufiji ni kauli ya mbunge mchengerwa na Thread ipo Hapa jamvini Sasa kwanini mnamshikia bango huyo nshomile? Ufafanuzi tafadhali Komredi Lucas na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
13 Reactions
201 Replies
3K Views
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia...
1 Reactions
16 Replies
411 Views
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
11 Reactions
82 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba...
0 Reactions
5 Replies
47 Views
Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu...
3 Reactions
77 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,442
Posts
49,418,038
Members
665,946
Latest member
MBATIZAJI SAUTI YA RADI
Back
Top Bottom