Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook...
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara.
Huu upuuzi ukome,kama hawawezi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Leo ndoa nyingi wanaume wengi tunalia wanawake wetu hawana adabu hawatuheshimu wanatupangia unyumba, nk mnasahau kitu kimoja ya kwamba ili uheshimiwe lazima kuwepo na kitu kitachokufanya...
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.
Binti anamuomba Simu...
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku...
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Kusema ukweli kama unafikiria kiuchumi na kimkakati huwezi fanya maamuzi ya kuchagua vipaombele kama hivyo ambavyo Kwa maoni yangu ni vipaombele vya hovyo kabisa.
Kwamba Tumetukia Trilioni 3.6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.