Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbunge wa Nzega Vijijini Hammis Kigwangala amewataka Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi Yao Wasimame na Rais Samia kimsemea na kuelezea mafanikio mengi na mazuri ambayo Samia ameyaleta...
1 Reactions
26 Replies
197 Views
Kwa mujibu wa uchambuzi niliofanya kutumia taarifa za kikodi kutoka TRA(Tax Revenues Collections) Mwaka wa Fedha 2022/2023.,Nimebaini Mikoa 15 inayotoa Kodi nyingi zaidi kuchangia gurudumu la...
6 Reactions
116 Replies
6K Views
Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷 Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada...
9 Reactions
59 Replies
902 Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
3 Reactions
139 Replies
495 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Wakuu ni aje, Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani. Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa...
6 Reactions
93 Replies
795 Views
Wakuu, hapa sizungumzii mambo ya mapenzi. Wanaume tumeumbwa tofauti na wanawake na kiasili kwa mtu aliyekamilika inapaswa upate hisia 'feelings' za asili za uwepo wa jinsia kinzani pindi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani...
0 Reactions
26 Replies
594 Views
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema Israel ilifanya makosa ya kimahesabu kwa adui zake ,hivyo haoni kuna haja ya kufanya vita na Iran, na anajua tayari kuna upinzani kutoka Hamas...
10 Reactions
70 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,846,529
Posts
49,421,073
Members
665,972
Latest member
an gott glauben
Back
Top Bottom