Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli...
Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.
Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1...
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
Niaje waungwana
Naona hata hapa ni wayahudi wa wachache wa bonyokwa ndio wamejitutumua ku report kashambulio ka Israel, ambako kimezuiwa mara moja bila kuleta madhara. Kila mtu anakumbuka...
Wakuu ni aje,
Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani.
Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa...
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia..
Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..
Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa...
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.