Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Anahitajika secretary kazi ya mwaka ila inaweza kuwa inaongezwa muda. SIFA -ajue computer vizuri -awe mchapa kazi kuna wakati ofisi inafungwa saa 12. -Awe mwepesi kujifunza -Awe mwaminifu...
1 Reactions
2 Replies
59 Views
Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata...
11 Reactions
101 Replies
2K Views
Hii comment murua kabisa kutoka kwa bwana denoo JG kukemea kinachoendea huko Zanzibar. Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika Ameanza na ushauri Tatizo upeo tu, wale...
3 Reactions
11 Replies
118 Views
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wanawaza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
12 Reactions
159 Replies
3K Views
CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
5 Reactions
83 Replies
3K Views
  • Sticky
Full name: Manchester City Football Club Nickname(s): The Citizens, The Blues, The Sky Blues Founded: In 1880 as St. Mark's (West Gorton), became Ardwick Association Football Club in 1887 and...
23 Reactions
28K Replies
1M Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
20 Reactions
429 Replies
6K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie. Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya. Nini kumetokea?
18 Reactions
482 Replies
26K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,645
Posts
49,208,265
Members
664,073
Latest member
merckme
Back
Top Bottom