Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu kwema? Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba...
2 Reactions
24 Replies
238 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
2 Reactions
43 Replies
162 Views
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao. Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii. Maneno...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Ivi kuna wangapi wana positive experience na kuingiza pesa ndefu Upwork wakuu? Na kwa ujuzi gani au skills gani?
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza, Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu. SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama...
28 Reactions
124 Replies
2K Views
A
Anonymous
Mzazi wangu ni mmoja wa Wazee ambao wamestaafu utumishi katika Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), mzee wangu na wenzake wengi waliostaafu Mwaka 2004, 2005 na 2006 hawajalipwa stahiki...
10 Reactions
62 Replies
2K Views
Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Habari Wadau kwa yeyote mwenye stock ya Dawa ya actelic 50 EC naomba tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
20 Views
enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU) Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za...
8 Reactions
31 Replies
497 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,470
Posts
49,418,794
Members
665,948
Latest member
MBATIZAJI SAUTI YA RADI
Back
Top Bottom