Kama ungekuwa na uongozi ngazi za juu, ungekuwa au kuja na mpango au mbinu gani ya kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumtwisha mzigo wa kodi au makato mengine mwananchi?
Kumekuwa na mijadala...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa?
Basi powa twende sasa,
Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length,
Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana...
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
"Kuna watu 34 wameweka maombi ambayo hayajalipiwa na hayana sifa ambapo kwa jumla wanashikilia eneo la ukubwa wa ekari 4,316,955 sawa na kuwa na mikoa ya Dar es Salaam 12, eneo lote hili limekaa...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.