Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.
Binti anamuomba Simu...
Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru.
Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema...
KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’
Kijana alichonitafutia ni...
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly.
Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
Mahakama ya Wilaya Kiteto,
Imemhukumu MAMBE MOHAMED MAMBE, Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara.
Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda Jela...
Kwa siku 45 nilikua silii mchana, nakula tu asubuhi chai ya ragi na skonzi moja na yai moja, mchana napiga ndefu, usiku ndio nakula wanga kidogo na chai ndio nalala. Kila siku kabla ya kuoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.