Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Mhe. Shaban sisi wananchi wa Hai tunakuhitaji sana Jimboni Hai na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025. Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka weru weru mpaka...
0 Reactions
4 Replies
40 Views
Wakuu kama mlivyosikia ya kuwa confederation cup limefutwa, Je hawa ndugu zetu ubuntu botho/mikia fc/mbumbumbu fc walio nafasi ya tatu kwenye ligi je watashiriki kombe gan? Nawasikitikia sana...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
43 Reactions
180 Replies
3K Views
Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
21 Reactions
136 Replies
4K Views
Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
14 Reactions
121 Replies
2K Views
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa. Na kama hamtaniona hapa JF...
34 Reactions
273 Replies
3K Views
Waziri Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema ofisi yake inakamilisha taratibu za kuajiri watendaji wa kata 525, watendaji wa vijiji 1,986...
0 Reactions
2 Replies
142 Views
Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
12 Reactions
79 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,031
Posts
49,404,588
Members
665,809
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom