A TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing).
Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso.
Ndipo...
Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli
Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi
hivi, Magufuli alitumia miujiza...
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye...
Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya amani na usalama SIPRI, imesema matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7, ikiwa ni sawa na dola trilioni 2.43 kwa mwaka 2023...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.