Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo nilikua napitia mtsndso nikakutana na Hii habari ya Boss wa Equity Bank ya Uganda kukamatwa kwa Kosa la kutakatisha Fedha. Ns fedha hizo ni za Mikopo ambayo wananchi ndio wanachukua. Hii...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
Anasema kipindi kilichopita kilikuwa na kikundi kinaitwa task force. TRA walikuwa wanafunga account za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya kodi kwa kutumia Task force hivyo kufilisi...
11 Reactions
92 Replies
2K Views
Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada...
2 Reactions
12 Replies
103 Views
Habari wana-JF Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano...
8 Reactions
50 Replies
751 Views
Ninazungumzia baadhi ya wenzetu humu jukwaani ambao ama sijawaelewa, au wana "tatizo". Nimeliona hili pindi mtu anapouoandisha uzi ambao una chembe za kifursa. Madhalani , mtu anaweza akawa...
0 Reactions
3 Replies
33 Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
17 Reactions
153 Replies
3K Views
Serikali ya Iran ipo kwenye khofu endapo watajaribu kulipiza kisasi dhidi ya Israel baada ya kauli ya kibabe ya Netanyahu. vita inaweza kuwa kubwa na Tatizo la Israel huwalenga kwanza Viongozi na...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kila mara na kila wakati tumekuwa tukisema hapa JF, uislamu hauwezi kuwaunganisha waarabu na haujawahi kuwaunganisha waarabu (kwa sababu waarabu sio waumini wazuri wa kiislamu japokuwa hutumia...
12 Reactions
31 Replies
660 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,991
Posts
49,403,273
Members
665,813
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom