Watu wana balaa na dharau za mapesa. Huko Dubai mvua zimeleta majanga ya mafuriko hadi miundombinu kama barabara na airports kuacha kufanya kazi kwa muda.
Sasa kuna jitu lenyewe halijali...
ISIS wamewateketeza wakiwa hai wasichana 19 kutoka Yezidi waliokataa kusilimu na kuwa watumwa wa ngono.
Jamii ya watu wasio waislam imejipanga kufanya maandamano kupinga hatua hiyo iliyovuka...
[emoji599] BREAKING NEWS:
Taarifa zinaeleza kuwa klabu ya Yanga haita tumia dressing room za uwanja wa Mkapa baada ya kuikuta kwenye hali mbaya, ripoti zimefika kwa mratibu wa mchezo (coordinator)...
Habari kwenu wanajamii wote.
Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali?
Mwenye...
Kama ilivyokuwa kwa Rais Dr Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi sioni Kabisa, narudia tena sioni kabisa Sababu inayomzuia Mwanasheria...
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013
Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
Wasalaaam.. Nina imani mko poa na mnatekeleza majukumu yenu kama ilivyo ada.
Kabla ya yote, watu tunafanya mambo kulingana na uhitaji wetu, na tunafanya kwa makadirio ya kuridhika na kitu ambacho...
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.
Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.
Kuna kipi...
With fully mandate we are selling some of earth moving machines and trucks with guarantee of visibility and legit business accountability for more details and serious buyers please contact Eng Em...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.