Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali.
Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza...
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
Kumekuwa na dhana inayotengenezwa na serikali ya CCM kwamba kwa kuwa Mwenyekiti wa NEC ni mtu mwenye nyadhifa ya ujaji basi ni wazi kwamba maamuzi yote atakayoyapitisha yatakua ni haki,na...
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda...
Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi?
Tena wateja naona watakuwa ndugu...
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo.
Inasikitisha sana.
Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani...
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.