WAKIKWAMBIA WAKO TAYARI KUKUPENDA NA UMASKINI WAKO KATAA KABISA HUO MTEGO,WATAKUSUMBUA MBELENI
Zipo kauli kuwa mapenzi sio pesa bali ni upendo tu wa moyo ndio unaamua mapenzi, hii ni kweli lakini...
Naomba ushauri cha kufanya ili niweze kusave pesa zangu maana nikikamata milioni 1 ndani ya Wiki moja inaisha, mpaka najiona nina jini Makata fedha...😁😁😁
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari wakuu
Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro...
Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni.
Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno.
Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya...
MDOMO UNAUMBA, JINENEE MEMA.
Miaka mitatu nyuma kulitokea kutokuelewana kati ya Jay Melody na Nandy ambapo Jay Melody alisikika akilalamika kuwa wakati Nandy hajawa msanii mkubwa Jay Melody ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.